Ufafanuzi wa bolpeni katika Kiswahili

bolpeni

nominoPlural bolpeni

  • 1

    kalamu yenye gololi na mrija wenye kutoa wino wakati wa kuandika.

Asili

Kng

Matamshi

bolpeni

/bɔlpɛni/