Ufafanuzi wa bolti katika Kiswahili

bolti

nominoPlural bolti

  • 1

    skrubu nene isiyokuwa na ncha inayokazwa kwa nati.

Asili

Kng

Matamshi

bolti

/bɔlti/