Ufafanuzi wa bombamvua katika Kiswahili

bombamvua

nominoPlural mabombamvua

  • 1

    bomba linalotoa maji ya kuogea k.v. mvua au rasharasha.

Matamshi

bombamvua

/bɔmbamvuwa/