Ufafanuzi wa bonasi katika Kiswahili

bonasi

nominoPlural bonasi

  • 1

    fedha au zawadi wapewayo wafanyakazi baada ya muda maalumu kutokana na faida zilizopatikana.

    mukafaa

Asili

Kng

Matamshi

bonasi

/bɔnasi/