Ufafanuzi wa bonde katika Kiswahili

bonde

nominoPlural mabonde

  • 1

    sehemu ya ardhi iliyo baina ya vilima viwili.

  • 2

    sehemu iliyo chini na inayopitiwa na mto.

    ‘Bonde la mto’

Matamshi

bonde

/bɔndɛ/