Ufafanuzi wa bondia katika Kiswahili

bondia

nominoPlural mabondia

  • 1

    mpiganaji katika mchezo wa ngumi.

Matamshi

bondia

/bɔndija/