Ufafanuzi wa boneti katika Kiswahili

boneti

nominoPlural boneti

  • 1

    sehemu ya mbele ya gari inayofunika injini na vitu vingine.

Asili

Kng

Matamshi

boneti

/bɔnɛti/