Ufafanuzi wa bongolala katika Kiswahili

bongolala

nominoPlural mabongolala

  • 1

    mtu mwenye uwezo wa chini wa uelewa wa mambo rahisi.

    zuzu

Matamshi

bongolala

/bɔngɔlala/