Ufafanuzi wa bonyeza katika Kiswahili

bonyeza

kitenzi elekezi

  • 1

    binya kitu kiingie ndani.

    ‘Bonyeza kengele unapofika mlangoni’
    bofya, bopa

  • 2

    dokezea mtu jambo asilolijua.

Matamshi

bonyeza

/bɔɲɛza/