Ufafanuzi wa bori katika Kiswahili

bori

nominoPlural bori

  • 1

    kikombe cha kigae cha buruma au huka.

  • 2

    pembe ya ndovu.

Asili

Kar/Kaj

Matamshi

bori

/bɔri/