Ufafanuzi wa boribo katika Kiswahili

boribo

nominoPlural maboribo

  • 1

    embe kubwa lenye rangi nyekundunyekundu au manjanomanjano ambalo nyama yake haina nyuzi, na ni tamu sana.

Matamshi

boribo

/bɔribɔ/