Ufafanuzi wa boronga katika Kiswahili

boronga

kitenzi elekezi

  • 1

    haribu sura ya kitu; haribu jambo au kazi.

    bananga, atili

Matamshi

boronga

/bɔrɔnga/