Ufafanuzi wa boshori katika Kiswahili

boshori

nominoPlural maboshori

  • 1

    kofia iliyofumwa kwa sufu, hasa huvaliwa wakati wa baridi.

Asili

Kar

Matamshi

boshori

/bɔ∫ɔri/