Ufafanuzi wa bowelamvuvi katika Kiswahili

bowelamvuvi

nominoPlural bowelamvuvi

  • 1

    samaki kama msusa mwenye rangi ya kijani na vidoa vyeupe au vyekundu, kwa urefu na upana wake karibu sawa na mkunga.

Matamshi

bowelamvuvi

/bɔwɛlamvuvi/