Ufafanuzi msingi wa boza katika Kiswahili

: boza1boza2

boza1

nomino

  • 1

    tanki maalumu la chuma lililojengewa kwenye gari au trela la trekta kwa ajili ya kubebea maji safi.

Asili

Kaj / Kar

Matamshi

boza

/bɔza/

Ufafanuzi msingi wa boza katika Kiswahili

: boza1boza2

boza2

nomino

  • 1

    mtu mpumbavu.

Matamshi

boza

/bɔza/