Ufafanuzi wa bozi katika Kiswahili

bozi, bozibozi

nomino

  • 1

    mtu anayezubaazubaa au anayeduwaaduwaa.

    mpumbavu, bahau, bakunja, bwege, fala, zebe, juha, gulagula