Ufafanuzi wa brandi katika Kiswahili

brandi

nomino

  • 1

    pombe kali ambayo ni jamii moja na wiski au jini.

Asili

Kng

Matamshi

brandi

/brandi/