Ufafanuzi wa brashi katika Kiswahili

brashi

nominoPlural brashi

  • 1

    kitu agh. chenye nyuzinyuzi kinachotumiwa kupangusia nguo, kufagilia au kupakia rangi.

Asili

Kng

Matamshi

brashi

/bra∫i/