Ufafanuzi wa breviari katika Kiswahili

breviari

nominoPlural breviari

Kidini
  • 1

    Kidini
    kitabu cha sala za kila siku zinazosomwa na mapadri.

Asili

Kng

Matamshi

breviari

/brɛvijari/