Ufafanuzi wa brigedia katika Kiswahili

brigedia

nominoPlural mabrigedia

  • 1

    ofisa wa kijeshi mwenye cheo kilicho juu ya kanali na chini ya meja-jenerali.

    ‘Brigedia huongoza brigedi’

Asili

Kng

Matamshi

brigedia

/brigɛdija/