Ufafanuzi wa bronki katika Kiswahili

bronki

nomino

  • 1

    kifungo cha pambo kinachovaliwa na wanawake juu ya nguo, agh. kwenye sehemu ya juu ya kifua au kwenye nywele.

    bizimu, bruchi

Asili

Kng

Matamshi

bronki

/brɔnki/