Ufafanuzi wa brosha katika Kiswahili

brosha

nominoPlural brosha

  • 1

    kijitabu kilicho na maelezo ya kutambulisha ofisi, chama, kampuni au shirika.

Asili

Kng

Matamshi

brosha

/brɔ∫a/