Ufafanuzi wa buathi katika Kiswahili

buathi, baathi

kitenzi sielekezi

  • 1

    fufuka kwa watu waliokufa kwa ajili ya kuhukumiwa siku ya kiyama.

Asili

Kar

Matamshi

buathi

/buwaθi/