Ufafanuzi wa bubujiko katika Kiswahili

bubujiko, mbubujiko

nominoPlural mabujiko

  • 1

    utokaji wa maji, machozi, n.k. kwa wingi.

    chemchemi

  • 2

    mropoko wa maneno; maneno mengi.

Matamshi

bubujiko

/bubuʄikɔ/