Ufafanuzi wa bubujisha katika Kiswahili

bubujisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu k.v. maji au machozi yatoke kwa wingi.

    tiririsha

Matamshi

bubujisha

/bubuʄi∫a/