Ufafanuzi wa buchari katika Kiswahili

buchari

nomino

  • 1

    kisu kikubwa.

    sime, shembea

Asili

Khi / Kar

Matamshi

buchari

/but∫ari/