Ufafanuzi wa bughudhi katika Kiswahili

bughudhi

kitenzi elekezi

  • 1

    ambia mtu maneno au fanyia mtu vitendo vya kumchukiza.

Asili

Kar

Matamshi

bughudhi

/buɚuði/