Ufafanuzi msingi wa bugu katika Kiswahili

: bugu1bugu2

bugu1

nominoPlural mabugu

  • 1

    mti unaotambaa chini ambao hukatwa na kufanywa kamba ya kufungia fito au kufumia vikapu.

Matamshi

bugu

/bugu/

Ufafanuzi msingi wa bugu katika Kiswahili

: bugu1bugu2

bugu2

nominoPlural mabugu

  • 1

    hali ya kutoridhika na kila lifanywalo; chuki zisizokwisha.

    gubu, ghasia, fujo

Matamshi

bugu

/bugu/