Ufafanuzi wa buguika katika Kiswahili

buguika

kitenzi sielekezi

  • 1

    toka kwa ghafla na kwa wingi.

    bubujika, foka

Matamshi

buguika

/buguIka/