Ufafanuzi wa buhumu katika Kiswahili

buhumu

nominoPlural mabuhumu

  • 1

    kiungo kilichomo ndani ya mwili wa mnyama au binadamu kinachomwezesha kupumua.

    pafu, yavuyavu

Matamshi

buhumu

/buhumu/