Ufafanuzi wa buhuri katika Kiswahili

buhuri

nominoPlural mabuhuri

  • 1

    moshi wa ubani, uvumba au udi.

  • 2

    vitu vya kufukizia k.v. ubani, udi au uvumba.

Asili

Kar

Matamshi

buhuri

/buhuri/