Ufafanuzi msingi wa buibui katika Kiswahili

: buibui1buibui2

buibui1

nominoPlural mabuibui

  • 1

    mdudu mwenye miguu minane myembamba anayetandaza utando wa kukamatia nzi na wadudu wengine.

Matamshi

buibui

/bujibuji/

Ufafanuzi msingi wa buibui katika Kiswahili

: buibui1buibui2

buibui2 , baibui

nominoPlural mabuibui

  • 1

    vazi jeusi linalovaliwa juu ya nguo za kawaida na wanawake, agh. wa Kiislamu, watokapo nje ya nyumba.

Matamshi

buibui

/bujibuji/