Ufafanuzi msingi wa bukua katika Kiswahili

: bukua1bukua2

bukua1

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~liana, liwa

  • 1

    soma kwa bidii.

Matamshi

bukua

/bukuwa/

Ufafanuzi msingi wa bukua katika Kiswahili

: bukua1bukua2

bukua2

kitenzi elekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~liana, liwa

  • 1

    gundua siri; fichua maovu.

Matamshi

bukua

/bukuwa/