Ufafanuzi wa buli katika Kiswahili

buli

nomino

  • 1

    chombo cha kutilia chai au kahawa.

    birika

Asili

Kre

Matamshi

buli

/buli/