Ufafanuzi wa bunduki katika Kiswahili

bunduki

nomino

  • 1

    silaha ya kufyatulia risasi kwa nguvu.

    ‘Piga bunduki’
    ‘Elekeza bunduki’
    mrau

Asili

Kar / Khi

Matamshi

bunduki

/bunduki/