Ufafanuzi wa bungua katika Kiswahili

bungua

kitenzi elekezi

  • 1

    toboa tundu katika nafaka au miti kama wafanyavyo wadudu.

Matamshi

bungua

/bunguwa/