Ufafanuzi wa bunguu katika Kiswahili

bunguu

nominoPlural mabunguu

  • 1

    chombo kilichofinyangwa kwa udongo na ambacho hutumiwa kupakulia chakula au kukamulia tui.

    mkungu, kibia

Matamshi

bunguu

/bungu:/