Ufafanuzi msingi wa bunzi katika Kiswahili

: bunzi1bunzi2

bunzi1

nominoPlural mabunzi

  • 1

    sehemu ya hindi inayobakia baada ya kupukuchua punje zote.

    gunzi, guguta

Matamshi

bunzi

/bunzi/

Ufafanuzi msingi wa bunzi katika Kiswahili

: bunzi1bunzi2

bunzi2

nominoPlural mabunzi

  • 1

    mdudu mwenye mbawa ngumu na rangi nyekundu na nyeusi au manjano na nyeusi.

Matamshi

bunzi

/bunzi/