Ufafanuzi wa bupuru katika Kiswahili

bupuru, bufuru

nomino

  • 1

    kitu kilicho na uwazi ndani.

    bufuu, fuu, fuvu