Ufafanuzi wa buraha katika Kiswahili

buraha

nominoPlural buraha

  • 1

    hali ya starehe; mapumziko ya muda.

Asili

Kar

Matamshi

buraha

/buraha/