Ufafanuzi wa burahi katika Kiswahili

burahi

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa katika hali ya starehe au mapumziko kwa muda.

  • 2

    Tiba
    pata nafuu.

Asili

Kar

Matamshi

burahi

/burahi/