Ufafanuzi wa buri katika Kiswahili

buri

nomino

  • 1

    pembe ya ndovu inapoanza kukua.

Asili

Kar

Matamshi

buri

/buri/