Ufafanuzi wa burudani katika Kiswahili

burudani

nominoPlural burudani

  • 1

    shughuli inayofanywa kwa ajili ya kufurahisha na kuchangamsha watu.

    ‘Watu walipata burudani safi ya muziki’
    starehe

Asili

Kar

Matamshi

burudani

/burudani/