Ufafanuzi wa burudisha katika Kiswahili

burudisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu astarehe aghalabu kwa muziki, vinywaji au michezo.

  • 2

    fariji

Matamshi

burudisha

/burudiāˆ«a/