Ufafanuzi wa buruhani katika Kiswahili

buruhani

nomino

  • 1

    Kidini
    uwezo wa Mungu.

  • 2

    kipawa kutoka kwa Mungu.

    karama

Asili

Kar

Matamshi

buruhani

/buruhani/