Ufafanuzi wa burunga katika Kiswahili

burunga

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    viringa udongo au kitu cha namna ya udongo.

Matamshi

burunga

/burunga/