Ufafanuzi wa burura katika Kiswahili

burura, buruta

kitenzi elekezi

  • 1

    vuta kitu kilicho chini kikigusana na ardhi.

    gugurusha, buruta, kokota