Ufafanuzi wa busati katika Kiswahili

busati

nominoPlural mabusati

  • 1

    jamvi lililotengenezwa agh. kwa majani ya mpunga au ngano.

Asili

Kar

Matamshi

busati

/busati/