Ufafanuzi wa busha katika Kiswahili

busha

nominoPlural mabusha

  • 1

    ugonjwa wa mshipa wa sehemu ya uume.

    mshipa, pumbu

Asili

Kre

Matamshi

busha

/bu∫a/