Ufafanuzi wa bushuti katika Kiswahili

bushuti, bushti

nomino

  • 1

    vazi la kiume kama joho lishonwalo kwa zari nyingi, hasa mgongoni na kifuani.

Asili

Kar

Matamshi

bushuti

/bu∫uti/